Rasmi Ivory Coast, Senegal na Afrika Kusini zimekamilisha orodha ya timu 9 kutoka Afrika zitakazocheza Kombe la Dunia 2026 huko Marekani Canada na Mexico.
Nchi Zilizofuzu ni:
1️⃣Morocco
2️⃣Tunisia
3️⃣Algeria
4️⃣Misri
5️⃣Ghana
6️⃣Cape Verde
7️⃣Senegal
8️⃣Ivory Coast
9️⃣Afrika Kusini.
Bara la Afrika lkuwa na timu tisa katika fainali za Kombe la Dunia 2026, ni rekodi mpya bada ya hapo awali kuwakilishwa na nchi Sita tu.
Cape Verde inasherehekea kufuzu kwa mara ya kwanza kabisa kwa Kombe la Dunia, tukio linalosherehekewa kama hatua muhimu katika historia ya taifa hilo.
NB:Ligi Kuu Tanzania Bara imewakilishwa na Pacome Zoouzzoua wa Yanga akiwa na Ivory Coast
#StarTvUpdate