Shirika la Maendeleo ya Petrol Nchini (TPDC) limeendeleza utaratibu wa uchimbaji wa visima viwili vya gesi asilia ambavyo vinatarajiwa kuongeza uzalishaji wa umeme.

Visima hivyo vinatarajiwa kuongeza uwezo wa uchimbaji wa gesi asilia hadi futi milioni 45 kwa siku mara zitakapo kamilika.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *