#SportPesaLeague: Tazama magoli yote matatu yaliyofungwa kwenye mchezo kati ya Shabana dhidi ya Posta Rangers.
Magoli yamefungwa na Brian Marita na Trevo Omondi kwa upande wa Posta Rangers.
Goli la Shabana limefungwa na Victor Omondi
FT: Shabana 1-2 Posta Rangers
#FKFPremierLeague #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #ShabanaVsPostaRangers #Shabana #PostaRangers