UCHAMBUZI MECHI YA IRAN vs TANZANIA: Wachambuzi wa soka @akingamkono na @sharif_bayona wamechambua kwa kina makosa yaliyofanywa ...

UCHAMBUZI MECHI YA IRAN vs TANZANIA: Wachambuzi wa soka @akingamkono na @sharif_bayona wamechambua kwa kina makosa yaliyofanywa na mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Abdulla ‘Bacca’ kiasi cha kusababisha Iran kuandika goli la kwanza kwa njia ya penati.

Mchezo huo uliopigwa jana Oktoba 14, huko Dubai, ulimalizika kwa Tanzania kupoteza kwa jumla ya magoli 2-0 dhidi ya Iran.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Viwanjani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *