Vilabu vya Manchester United na Crystal Palace vimeripotiwa kuonyesha nia ya kumsajili kiungo wa Borussia Dortmund, Jobe Belling...

Vilabu vya Manchester United na Crystal Palace vimeripotiwa kuonyesha nia ya kumsajili kiungo wa Borussia Dortmund, Jobe Bellingham, mdogo wa nyota wa Real Madrid, Jude Bellingham.

Tangu kujiunga na Dortmund akitokea Sunderland kwa dau la pauni milioni 25, Jobe amekuwa akipata nafasi chache za kucheza, jambo lililoibua tetesi za kurejea England.

Dortmund imesisitiza haina mpango wa kumuuza kwa sasa, lakini United na Palace wanaendelea kumfuatilia kwa karibu, wakiamini anaweza kuimarisha safu zao za kiungo.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *