VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @akingamkono amesema tatizo ambalo mpaka sasa linaitesa Taifa Stars ni kukosa wachezaji wa ndani wenye uwezo wa kucheza nafasi ya ushambuliaji na kutumia nafasi za kupata magoli.
Kingamkono ameongeza kuwa tatizo hili linaanzia katika ngazi ya klabu za Tanzania na ndio maana timu nyingi kubwa hapa nchini zimechukua washambualiaji kutoka nje.
Imeandikwa na @davidkyamani
Mhariri: @allymufti_tz
#Viwanjani