Wakazi wa Mtaa wa Lalata na Kulangwa Goba, wanaoishi kando ya Mto Tegeta katika Wilaya ya Ubungo, wamelalamikia uchimbaji wa mchanga unaoendelea katika mto huo unaosababisha uharibifu wa mazingira.
Kilio hicho kinatokana na baadhi ya nyumba kuwa hatarini kubomoka kutokana na shughuli hizo za kibinadamu.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi