Watu wanne wamekamatwa wilayani Mpanda kwa kosa la kutumia umeme kwa muda mrefu bila kulipia. Kufuatia tukio hilo, Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limewataka wananchi kutojiingiza kwenye wizi au matumizi ya umeme kinyume cha sheria.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mblalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *