ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Yanga SC yampongeza Pacome Zouzoua baada ya Timu yake ya Taifa ya Ivory Coast, Kufuzu Kombe la Dunia 2026.
Mtangazaji @ngodaalwatan aijadili picha ya Pacome iliyopostiwa na mchambuzi wa soka @giftmacha_official
Ni #Zilizobamba mitandaoni ya #Viwanjani
#Viwanjani #Zilizobamba