BANK YA NBC YAJA NA NEEMA: “Sisi NBC tunakwenda mpaka milioni 300 kumkopesha mtumishi”
Mwakilishi kutoka Benki ya NBC, Erick Mbeyale amesema benki yao ndio benki pekee nchini ambayo inaweza kumkopesha mtumishi wa serikali kiasi kikubwa cha fedha.
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#BenkiYaNBC #Viwanjani