FOUNTAIN GATE vs DODOMA JIJI: Tazama ‘vita’ ya maneno kati ya maafisa habari hawa wawili ambao ni Issa Mbuzi wa Fountain Gate FC na Moses Mpunga wa Dodoma Jiji.
Ni kuelekea mechi yao ya kesho ya NBC Premier League ambayo itapigwa saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania