#HABARI: Mgombea Udiwani wa Kata ya Segerea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Robert Manangwa ameongoza maombi ya kuliombea Taifa amani pamoja na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Dua hiyo imefanyika kwa kushirikiana na kamati ya Maridhiano na Amani (JAY MAT) hapa nchini kwenye viwanja vya Toto Tundu vilivyopo Segerea jijini Dar es Salaam.
Kwa nyakati tofauti viongozi hao wa dini pamoja na mgombea udiwani wa kata hiyo wamehimiza amani kuelekea Uchaguzi Mkuu.
•Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania