#HABARI: Ulinzi mkali umeimarishwa leo Oktoba 16, 2025 wakati Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwasili Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili.

Kesi hiyo iliahirishwa jana baada ya upande wa Jamhuri kuomba ahirisho ili waweze kushiriki maziko ya Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga, Asha Hamis Mwetindwa.

•Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *