#HABARI: Watanzania wametakiwa kuhakikisha kuwa hali ya amani na utulivu, inaimarishwa siku ya uchaguzi, kujitokeza kupiga kura kisha kurudi nyumbani, ili kuvipunguzia kazi Vyombo vya Ulinzi na Usalama, kukabiliana na yeyote anayekiuka taratibu za uvunjifu wa amani.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kikundi cha amani Taifa Hassan Kubobela, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mtego wa noti wilayani Uvinza mkoani Kigoma, katika mkutano uliohudhuriwa na vyombo vya ulinzi na usalama.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *