Jamii mkoani Lindi imehimizwa kulinda afya kwa kunawa mikono mara kwa mara, kutumia vyoo bora, pamoja na kudumisha usafi wa mazingira kwa ujumla, ili kujikinga dhidi ya magonjwa.

Unatumia njia zipi kuilinda jamii yako dhidi ya magonjwa ya kuambukiza Tuandikie maoni yako, tutayasoma kwenye #AdhuhuriLive saa 7:00 katika chaneli ya #UTV.

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *