Kikosi cha Singida BS kimefanya mazoezi yake ya mwisho katika dimba la KMC Complex, Dar es salaam tayari kwa safari kuelekea Burundi kuifuata Flambeau du Centre kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.
Kocha Miguel Gamondi amezunguzmia maandalizi ya kikosi chake.
Mechi itapigwa Oktoba 19, 2025 saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports4HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#SingindaBS