KIKOSI CHA YANGA: Mchambuzi wa soka @adrianojames_ amechambua faida na changamoto anazoweza kukumbana nazo Kocha Romain Folz wa Yanga SC kutokana na uwepo wa kikosi kipana kwenye timu yake.
Yanga tayari imeshawasili Lilongwe Malawi kuikabili Silver Strikers kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Mechi hiyo itapigwa Oktoba 18, saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports2HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#Viwanjani