Kombe la Shirikisho Afrika
Jumamosi, KMKM watakuwa nyumbani dimba la Amaan wakiwakaribisha matajiri wa Chamazi, Azam FC.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:15 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports4HD.
Jumapili, Singida BS watakuwa jijini Bunjumbura katika dimba la Prince Louis Rwagasore wakicheza na Flambeau Du Centre.
Mechi hii itachezwa kuanzia saa 10:00 jioni, na kuruka mbashara kupitia AzamSports4HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii.
#CAFCC #AzamFC #SingidaBS