KUTOKA ESWATINI: Mwandishi wa habari wa #AzamTV Mohamed Mohamed anaripoti moja kwa moja kutoka uwanja wa Ndege nchini Eswatini w...

KUTOKA ESWATINI: Mwandishi wa habari wa #AzamTV Mohamed Mohamed anaripoti moja kwa moja kutoka uwanja wa Ndege nchini Eswatini wakati kikosi cha Simba SC, kikiwasili usiku huu kikitokea Tanzania, kupitia Afrika Kusini.

Simba imeifuata Nsingizini Hotspurs kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika na mechi itapigwa Oktoba 19, 2025 saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports2HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#SimbaSC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *