KUTOKA ZANZIBAR: Mashabiki wa Azam FC, wakiongozwa na Meneja Mauzo na Masoko, Ayoub Shelukindo na Katibu wa Mashabiki Ahmed Jobe...

KUTOKA ZANZIBAR: Mashabiki wa Azam FC, wakiongozwa na Meneja Mauzo na Masoko, Ayoub Shelukindo na Katibu wa Mashabiki Ahmed Jobenyo, wamezindua hamasa kueleka mechi yao ya Jumamosi dhidi ya KMKM.

Azam FC itakuwa ugenini kucheza dhidi ya KMKM kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) na mechi hiyo itapigwa Oktoba 18, 2025 saa 10:15 jioni LIVE #AzamSports4HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#CAFCC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *