KUTOKA ZANZIBAR: “Tunauendea mchezo huu kwa tahadhari kubwa”

KUTOKA ZANZIBAR: “Tunauendea mchezo huu kwa tahadhari kubwa”
Katibu Mkuu wa Shrikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) Hussein Ahmada amesema mechi ya KMKM na Azam FC itakuwa ni kama Dabi ya Tanzania na wao wanakwenda kwa umakini mkubwa kwasababu timu zote mbili zinatoka Tanzania.

Ni kuelekea mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) ambayo itapigwa Oktoba 18, 2025 saa 10:15 jioni LIVE #AzamSports4HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#CAFCC #AzamFC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *