KUTOKA ZANZIBAR: “Washawahi kutufunga”
Mchezaji wa Azam FC, Iddi Nado amesema mechi yao dhidi ya KMKM sio nyepesi kwasababu walishawahi kufungwa na wapinzani wao hao kutoka visiwani Zanzibar.
Azam FC itakuwa ugenini kucheza dhidi ya KMKM kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) na mechi itapigwa Oktoba 18, 2025 saa 10:15 jioni LIVE #AzamSports4HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#CAFCC