Ligi ya Mabingwa Afrika.

Jumamosi, Yanga SC watakuwa dimba la Bingu nchini Malawi wakicheza na Silver Striker, kuwania kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD.

Jumapili, Simba SC watakuwa Eswatini katika dimba la Somhlolo wakicheza na Nsingizini Hotspurs kuwania kufuzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii

#CAFCL #Azamtvsports #YangaSC #SimbaSC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *