Mamia ya wananchi jijini Nairobi wameungana na jeshi la nchi hiyo kuupokea na kuusindikiza mwili wa Raila Odinga kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, kuelekea uwanja wa Kasarani kwa ajili ya kuuaga.

Mwili huo umewasili leo ukitokea India.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *