MECHI YA SIMBA DHIDI YA NSINGIZINI: “Wana matatizo pia ya umaliziaji”
Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC, Aden Rage anasema mnyama anaogopwa sana kwenye anga la kimataifa lakini bado vijana hao wa Msimbazi, wana chanagamoto kwenye ufungaji.
Rage anasema hamasa ya goli la Mama pia limeongeza chachu kwa klabu za Tanzania.
Simba itashuka dimbani Oktoba 19, 2025 dhidi ya Nsingizini Hotspurs ya Eswatini.
Mechi itapigwa saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports2HD
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#Simba