#MICHEZO: Msafara wa mashabiki na wanachama wa Yanga kutoka Dar es Salaam ambao unakwenda kuungana na msafara wa mashabiki wengi wa Mbeya umefika Ndiuka majira ya saa 4 asubuhi baada ya kuondoka usiku wa jana Dar es Salaam.
Huku wanachama na mashabiiki wa Yanga wakisema wanakwenda Malawi kufanya makubwa sana zaidi ya kushinda mechi pia kwenda kutanua matawi zaidi.
Na kuifanya Yanga kuwa timu yenye matawi mengi nchi tofauti pengine kuliko hata timu kubwa Afrika Al Ahly au Real Madrid.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.