NONDO ZA MZINGA: Mtangaza wa kabumbu wa #AzamTV @gharib_mzinga23 amechambua mechi nne za kimataifa ambazo zinahusisha timu tano kutoka Tanzania.
Mzinga ameichambua mechi kati ya KMKM dhidi ya Azam FC, mechi ya Flambeau dhidi ya Singida BS hizo zote ni za Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).
Kwa upande wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), mtangazaji huyo ameichambua mechi ya Silver Strikers dhidi ya Yanga SC na Nsingizini Hotspurs dhidi ya Simba SC.
Timu ipi itarudi kifua mbele…? Gharib Mzinga anatoa majibu.
Mechi zote utazipata kupitia kisimbuzi chako cha #AzamTV
#CAFCL #CAFCC