NSINGIZINI vs SIMBA: “Nategemea Simba kupata upinzani mkubwa sana”

NSINGIZINI vs SIMBA: “Nategemea Simba kupata upinzani mkubwa sana”
Mchambuzi wa soka @adrianojames_ anasema akiiangalia mechi ya Silver Strikers dhidi ya Yanga SC na Nsingizini Hotspurs dhidi ya Simba SC, ndio mechi ngumu zaidi kuliko ya watani wao.

Adriano anasema Nsingizini nao wanahitaji kujitangaza zaidi kupitia mechi hii dhidi ya Simba.

Kwa uapnde wa mchambuzi @akingamkono ameangazia kikosi cha Simba ambacho kimeenda Eswatini.

Mechi hiyo itachezwa saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports2HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#SimbaSC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *