Raia wawili wa Kenya wamefariki dunia baada ya polisi nchini humo kufyatua risasi kuwatawanya waombolezaji wa msiba wa Raila Odinga katika uwanja wa Kasarani baada ya maelfu ya waombolezaji hao kuwazidi nguvu askari katika uwanja huo.

Taarifa ifuatayo ina mengi zaidi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *