SERIE A Wikiendi hii

Big Match ni katika dimba la Olimpico jijini Roma, pale wenyeji AS Roma wakiwakaribisha Inter Milan.

Katika msimamo wa Serie A, AS Roma yupo nafasi ya pili akiwa na alama 15 huku Inter Milan akiwa na alama 12 katika nafasi ya nne.

Mechi hii itapigwa kuanzia saa 3:45 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD.

Je, Inter Milan kumfikia AS Roma ama Roma kuzidi kuweka utofauti wa alama

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Serie A mwezi mzima.

@seriea #Azamtvsports

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *