Serikali imeungana na wadau mbalimbali kutoa elimu ya afya na usafi wa mazingira kwa wakazi wa wilaya ya Mtama mkoani Lindi ili kuhamasisha wakazi hao kuzingatia unawaji mikono kwa maji safi na matumizi ya vyoo bora ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko.
Wadau walioshiriki ni Shirika la World Vision, Heart To Heart pamoja na Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Masasi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi