Tazama gari la matangazo la #AzamTV lilivyofika katika mpaka wa Kasumulu likiwa linatokea Mbeya kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kurusha matangazo ya mechi ya Ligi ya Mabingwa kati ya Silver Strikers dhidi ya Yanga SC itakayopigwa katika jiji la Lilongwe.
Mechi ni Oktoba 18 saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports2HD
Video na @japhet_mrisho
#AzamTV