Vikundi zaidi ya 70 vinavyojihusisaha na uhifadhi na utunzaji wa misitu na rasilimali zake vimetakiwa kuandika taarifa za kitaalamu za matumizi ya fedha za ruzuku wanazopokea kutoka katika Mfuko wa Misitu unaosimamiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii nchini (TaFF).

Taarifa ya Juma Kapipi ina maelezo zaidi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *