VIWANJANI: Wachambuzi @adrianojames_ na @akingamkono wazichambua mechi za kesho za NBC Premier League.
Pamba Jiji itaikaribisha Mashujaa FC, saa 8:00 mchana na Fountain Gate dhidi ya Dodoma Jiji, saa 10:15 jioni.
Mechi zote zitakuwa LIVE #AzamSports1HD
#Viwanjani