ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Kibonzo cha sokwe wa Mashujaa FC chawakosha watangazaji na wachambuzi wa kipindi cha #Viwanjani.
Ni kuelekea mchezo wa kesho wa NBC Premier League dhidi ya Pamba Jiji na wenyeji wao hao wajibu mapigo.
Ni #Zilizobamba mitandaoni ya #Viwanjani
#Viwanjani