CHAN 2024 ILIVYOING’ARISHA TANZANIA:

CHAN 2024 ILIVYOING’ARISHA TANZANIA:

Heshima kubwa kwa Tanzania ilikuwa kuteuliwa na CAF kuwa mwenyeji wa fainali za michuano ya CHAN 2024.

Tukio hilo liliinua sura ya nchi kimataifa, likithibitisha kuwa Tanzania si shabaha ya michezo pekee, bali pia ni kiwanja cha mshikamano na burudani.

Serikali ilihakikisha viwanja, hoteli na usafiri vimeboreshwa kwa kiwango cha juu. Hatimae, taifa likawa kitovu cha furaha, mshikamano na utalii wa kimichezo.

Tazama Makala hii fupi yeye mkusanyiko wa matukio yote muhimu yaliyojiri kabla na baada ya kufanyika kwa michuano ya CHAN 2024 ikiwa ni kwa ushirikiano wan chi tatu za Afrika Mashariki.

#CHAN2024

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *