#HABARI: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso ametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025.
Akizungumza na wananchi wa jimbo la Itigi Mkoani Singida Oktoba 15, amewaeleza kuwa upigaji wa kura ni muhimu kwa sababu kwanza ni uzalendo na pia ni njia ya kuwapata viongozi ambao wataliletea taifa maendeleo.
“Kupiga kura ni tendo la kizalendo kura yako ndiyo maendeleo yako ewe kijana ewe mama kura yako moja ina thamani sana,” amesema Paresso.
Aidha amekumbusha wananchi hao ifikapo Okt. 29 kushawishi na wengine wakapige kura ili kuchagua viongozi wa CCM ambao amesema watawaletea maendeleo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.