#HABARI: Baadhi ya Wadau wa Misitu katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, wameiomba Serikali kupiga marufuku matumizi ya moto katika shughuli za maandalizi ya mashamba, kwani majanga mengi ya moto unaoteketeza misitu na kusababisha hasara ya fedha, hutokana na moto ulioanzia kwenye shughuli za kibinadamu hasa kwenye uandaaji mashamba.
Wadau hao watoa mapendekezo hayo kwenye mdahalo, uliokutanisha viongozi wa Serikali na wadau wa misitu, kwa lengo la kutafuta suluhu ya majanga ya moto kwenye misitu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.