#HABARI: Maelfu ya waombolezaji wamejitokeza katika uwanja wa michezo wa Nyayo katika hafla ya Ibaada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Hayati Raila Odinga.

Usalama umeimarishwa, huku vitengo mbalimbali kwa usalama likiwemo Jeshi la Ulinzi KDF vikionekana uwanjani hapo.

Mwili wa Hayati Raila Odinga kwa sasa bado uko katika Majengo ya Bunge. Baada ya Ibada ya kuaga mwili wa Raila, wananchi watapata nafasi ya kuuaga mwili huo kuanzia saa sita mchana.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *