#HABARI: Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani, wamepanga kufunga kambi ya wakimbizi ya Nduta na Nyarugusu kwa upande wa wakimbizi kutoka nchini Burundi ifikapo Juni, 2026 baada ya mahojiano yaliyofanyika kuhusu sababu za wakimbizi hao kukimbia nchi yao kuonesha kuwa Burundi kwa sasa kuna amani ya kutosha hivyo wanapaswa kurudi kujenga nchi yao.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *