Mamlaka ya Mafunzo ya Amali inaandaa rasimu ya mitaala itakayotumika katika vyuo vya mafunzo ya amali, ili kusaidia kuwajengea wajasiriamali ujuzi na taaluma zitakazowawezesha kuzalisha bidhaa zenye ubora na viwango vinavyokubalika sokoni.
AzamTVPdates
Mhariri : John Mbalamwezi