#MICHEZO : Baada ya safari ya muda mrefu hatimaye Jana usiku mashabiki wengi wa Yanga walifanikiwa kufika mpakani.
Ingawa muda ulikuwa umeenda hivyo ililazimu kulala hapa na kisha Asubuh tumeanza mchakato wa mpakani ili tuweze kuvuka na kuanza safari kuikata Lipoga Hadi Lilongwe
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.