Michezo ya wikiendi hii katika Bundesliga
Big Match ni Bayern Munich dhidi ya Dortmund katika dimba la Allianz Arena.
Katika raundi sita zilizochezwa katika Bundesliga, Bayern na Dortmund ndio timu pekee ambazo hazijapoteza.
Je, ni Bayern ama Dortmund nani kupoteza mchezo wa kwanza
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Bundesliga mbashara kupitia AzamSports2HD.