MUM MARATHON: Katibu wa MUM Marathon, Ahmad Msamaha kutoka Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) anasema sababu za mbio hiz...

MUM MARATHON: Katibu wa MUM Marathon, Ahmad Msamaha kutoka Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro (MUM) anasema sababu za mbio hizo kuwekwa Kilometa tano pekee ni kutoa fursa kwa watu wengi kuweza kushiriki na kuhimili jambo hilo.

Msamaha anasema kama wataweka mbio za masafa makubwa, maana yake watakuwa wamepunguza fursa ya watu wengi kushiriki.

MUM imeandaa Marathon ambayo itafanyika Novemba 8, 2025 na dhamira yake ni kukusanya fedha kwa ajili ya ujezni wa mabweni ya watoto wa kike.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#MUMMarathon #Viwanjani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *