MUM MARATHON: Msikie Katibu wa MUM Marathon, Ahmad Msamaha kutoka Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro (MUM) akitoa historia ya asili yam bio fupi namna zilivyoanza.
MUM imeandaa Marathon ambayo itafanyika Novemba 8, 2025 na dhamira yake ni kukusanya fedha kwa ajili ya ujezni wa mabweni ya watoto wa kike.
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#MUMMarathon #Viwanjani