#NBCPL Ni dakika cha majeruhi…..Chuga kamuona Mmwanuke; Mwanuke akapiga ‘tangulia’, kisha akamwaga mma…..mabeki wote wakayumba…Mudrick Abdi Shehe akatia kichwa tu….Goli la kwanza kabisa kwa Fountain Gate kwenye ligi msimu huu.
Tazama ilivyokuwa
FT’: Fountain Gate 1-0 Dodoma Jiji
Burudani zinaendelea LIVE #AzamSportsHD
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #FountainVsDodomaJiji #FountainGate #DodomaJiji