#NBCPL: Tazama magoli yote matatu yaliyofungwa kwenye mchezo kati ya Pamba Jiji dhidi ya Mashujaa

#NBCPL: Tazama magoli yote matatu yaliyofungwa kwenye mchezo kati ya Pamba Jiji dhidi ya Mashujaa.

Magoli ya Pamba Jiji yamefungwa na Peter Lwasa huku goli la Mashujaa likifungwa na Baraka Mtuwi.

FT’: Pamba Jiji 2-1 Mashujaa

#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #PambaJijiVsMashujaa #PambajIji #MashujaaFC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *