PAMBA JIJI vs MASHUJAA: Mchambuzi wa soka @kingamkono amesema anaamini Pamba Jiji watafanya vizuri katika mchezo wa leo wa NBCPr...

PAMBA JIJI vs MASHUJAA: Mchambuzi wa soka @kingamkono amesema anaamini Pamba Jiji watafanya vizuri katika mchezo wa leo wa NBCPremierLeague dhidi Mashujaa FC kwani wanawachezaji wazuri na mwalimu mwenye uzoefu katika soka.

Kingamkono ameongeza kuwa licha ya Pamba Jiji kutofanya vizuri katika mchezo wao dhidi ya Yanga SC ila ilionesha mchezo wa ushindani na kiwango bora katika mechi hiyo.

Kwa upande wake Mchambuzi wa soka @sharif_bayona ameeleza ubora wa timu zote mbili kuelekea mchezo huo.

Mechi hiyo itachezwa leo saa 8:00 mchana dimba la CCM Kirumba na itakuwa LIVE #AzamSports2HD

Imeandikwa na @davidkyamani
Mhariri: @allymufti_tz

#Viwanjani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *