UCHAMBUZI KUHUSU YANGA SC: Mchambuzi wa soka @akingamkono awataja wachezaji ambao anafikiri Kocha Romain Folz, anaweza akawatumia kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Silver Strikers ya Malawi.
Kwa upande wake Mchambuzi wa soka @sharif_bayona amegusia eneo la ushambuliaji la Yanga SC huku akielezea ubora wa Silver Strikersa.
Mechi hiyo itachezwa saa kesho Jumamosi saa10:00 jioni LIVE #AzamSports2HD
Imeandikwa na @davidkyamani
Mhariri: @allymufti_tz
#Viwanjani