Wadau wa elimu jumuishi wameandaa mbio maalum za uhamasishaji kuhusu changamoto ya ‘dyslexia’, ambazo zinatarajiwa kufanyika Oktoba 19, 2025.
Waandaaji wa mbio hizo wamesema lengo kuu la tukio hilo ni kuelimisha jamii, kupunguza unyanyapaa, kuongeza msaada kwa watoto wanaokumbwa na changamoto hiyo ambayo huwafanya kupata ugumu katika kujifunza, kusoma, kuandika na kuhesabu kwa ufasaha.
✍Ramadhani Mvungi
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates